下载 APKPure App
可在安卓获取SMS za Mapenzi 2020 ❤的历史版本
SMS Za Mapenzi 2020 ni programu yaswasilih ambayo ni nzuri sana ya mahaba。
SMS za Mapenzi 2020
SMS ya Mapenzi ni Programu ya Kiswahili kwa wale ambao wanapenda uhusiano kwa familia. Programu hii ni ya kipeke Tanzania, Kenya na hata Congo. Ni Programu ambayo ni nzuri sana kwako na marafiki wako.
Familia bila Mapenzi sio familia, uhusiano wowote ni lazima uwe na mahaba tele ili mpate kufurahia upendo wenyu kama watu ambao mnapendana.
Watakao tumia app hii
-Wavulana
-Wasichana
-Wapendanao
-Watu wenye wako kwa ndoa.
Tafadhali jaribu program hii ili upate uhondo wa kisasa.
下载 APKPure App
可在安卓获取SMS za Mapenzi 2020 ❤的历史版本
下载 APKPure App
可在安卓获取SMS za Mapenzi 2020 ❤的历史版本