Katekisimu Ndogo


1.0 von AlberaInfoTech
Oct 15, 2018

Über Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo Ya Kanisa katoliki

Katekisimu Ndogo Ni mensi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki,

       App hii imeandaliwa kulingana auf Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki, Jimbo kamu la Songea chapisho la mwaka 1998.

        Imagawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali am majibu ambayo ni msingi katika kuifunza imani ya Kanisa katoliki,

zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

1: SEHEMU YA KWANZA: IMANI

     - Kipelene hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na

     majibu kushusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.

1.0: NASADIKI

        1.1: KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.2: MUUMBA MBINGU NA DUNIA

        1.3: YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIJETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU ​​AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA

        1.4: AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESA AKAFA AKAZIKWA AKASCHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU

        1.5: AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUMEN KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.6: TOKA HUKO ATAKUKA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU

        1.7: NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU

        1.8: KANISA TAKATIFU ​​KATOLIKI

        1.9: USHIRIKA WA WATAKATIFU

        1.10: MAONDOLEO YA DHAMBI

        1.11: UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE

2: SEHEMU YA PILI: SAKRAMENTI

-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia, Neema, Visakramenti, Sakramenti

Ummuimu wa Sakramenti, Nani na wakati ganianatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemi hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:

        2.0: LITURJIA

        2.1: NEEMA

        2.2: SAKRAMENTI

        2.3: VISAKRAMENTI

        2: 4: SALA

3: SEHEMU YA TATU: AMRI

Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amir zote za Mungu auf der Kana, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala ya fadhila, aina za fadhila, dhambi aina za dhambi, vishawishi na asili zake,

na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.

3.0: AMRI KUU

       3.1: AMRI KUMI ZA MNGU

       3.2: AMRI ZA KANISA

       3.3: FADHILA

       3.4: DHAMIRI

       3.5: DHAMBI

       3.6: VISHAVISHI

4: SEHEMU YA NNE: SALA MUHIMU

Sehemi hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba amvavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku,

 namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umschirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima.

        4.0: SALA ZA ASUBUHI

        4.1: SALA YA JIONI

        4.2: SALA KABLA YA MAFUNDISHO

        4.3: SALA WAKATI WA KUUNGAMA

        4.4: SALA ZA JIONI

        4.5: SALA ZA KOMUNYIO

        4.6: SALA KWA BIKIRA MARIA

Was ist neu in der neuesten Version 1.0

Last updated on Nov 13, 2018
Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

Zusätzliche APP Informationen

Aktuelle Version

1.0

Von hochgeladen

عبيدة القج

Erforderliche Android-Version

Android 4.0.3+

Bericht

Als unangemessen kennzeichnen

Mehr anzeigen

Use APKPure App

Get Katekisimu Ndogo old version APK for Android

Download

Use APKPure App

Get Katekisimu Ndogo old version APK for Android

Download

Katekisimu Ndogo Alternative

Erhalte mehr von AlberaInfoTech

Entdecken