Usar la aplicación APKPure
Obtener SWALA YA MAITI versión histórica en Android
Jifunze namna ya kumswalia maiti, kumuandaa maiti na kushona sanda ya maiti.
Hapa utajifunza namna ya kutekeleza ibada ya kumswalia maiti ama swala ya jeneza. Tumeandaa somo hili kwa ajili ya kutoa elimu kwa waislamu ambao wanataka kujifunza swala ya maiti na namna ya kumhifadhi maiti wa kislamu.
Katika somo hili pia utajifunza namna ya kuandaa sanda ya maiti wa kike, kiume na watoto. Pia utajifunza jinsi ya kumtwaharisha maiti wa kislamu.
Tunatarajia kuongeza masomo zaidi kuhusu mada hii ya maiti. Tunatarajia radhi za Allah katika kazi hii na kwako ndugu msomaji tunatarajia dua njema.
Last updated on 19/04/2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Presentado por
Mahmud Nur Alahmed
Requisitos
Android 4.0.3+
Categoría
Reportar
SWALA YA MAITI
3.0.1 by BONGOCLASS
19/04/2024