Use APKPure App
Get Ushairi wa Mwanagenzi old version APK for Android
Learn about Swahili Poetry and read lots of Swahili Poems from different artists
Ushairi wa Mwanagenzi ni kitumizi kinachompa tumaini mshairi chipukizi aliye na ari ya kuwa malenga ili kuendeleza fani ya ushairi. Pamoja na kuimarisha washairi chipukizi. kitumizi hiki huelimisha na kuchanganua masuala tofauti yanayohitajika katika ushairi bora.
Utasoma mengi kutoka kwa washairi chipukizi nchini Kenya na Tanzania. Makala yametolewa kwa tovuti ya www.mwanagenzi.com iliyo na lengo la kuwapa moyo washairi chipukizi. Kuna maelezo kemkem yanayoelezea na kufafanua kuhusu ushairi wa Kiswahili. Ni maelezo na mashairi yatakayomfaa mwanafunzi wa shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu.
Hivi hapa vidokezo vya kitumizi hiki:
- Mpangilio mwafaka wa maelezo kwa lugha teule ya Kiswahili.
- Mashairi yaliyopangwa kwa aina, washairi, maudhui na bahari.
- Arifiwa punde tu tunapochapisha mashairi mapya.
- Tafuta mashairi kulingana na maudhui, watunzi au maneno kwenye mashairi
- Picha iliyoteuliwa kwa kila shairi inayoambatana na dhamira ya kila shairi.
- Soma shairi moja kwa jingine kwa urahisi wa kufungua.
- Hifadhi mashairi kwa kubonyeza kitufe ili uyasome baadaye.
- Shirikisha mashairi na makala kwa wengine kutumia Whatsapp, Facebook n.k.
- Linki muhimu zitakazokuelekeza kwa tovuti za Mwanagenzi Mtafiti.
Tutazidi kusasisha kitumizi hiki na kuongeza maelezo, mashairi na makala mbalimbali ili kukufaa zaidi. Tafadhali kipendekeze kwa kuweka nyota tano.
Shukran.
Last updated on Aug 17, 2018
- Kifaa cha kutafutia mashairi
- Picha mpya ya utangulizi
- Mpangilio mpya wa kurasa za mashairi
- Linki mpya kuhusu maelezo ya ushairi
- Mashairi mapya kutoka kwa washairi mbalimbali
- Ukubwa wa programu umepunguzwa
- Mabadiliko madogo madogo
Telechargé par
Abo Seef
Nécessite Android
Android 4.0.3+
Catégories
Signaler
Ushairi wa Mwanagenzi
16.01 by Kĩmani wa Mbogo
Aug 17, 2018