Use APKPure App
Get Simulizi Za Kusisimua old version APK for Android
Aplikasi ini menghadirkan kisah fantastis di ponsel Anda
Applicatioin hii imeandaliwa na SIMULIZI ENTERTAINMENT ambayo ni brand inayohusika na kuandaa simulizi za audio lakini pia kukusanya hadithi kutoka kwa waandishi mbali mbali lengo ikiwa ni kuinua tasinia ya uandishi na kutangaza vipaji vya waandishi waliobobea na chipukizi katika tasinia hii..
Lakini pia tumenuia kuiburudisha na kuielimisha jamii kupitia kazi za waandishi ambazo zinakua na jumbe mbali mbali kwa hadhira
Kupitia application hii Simulizi Za Kusisimua, utaweza kudownload na kusoma simulizi, chombezo, riwaya na hadithi kutoka kwa waandishi mbali mbali wenye vipaji katika utunzi na uandishi wa hadithi.
Kazi zetu pia utazipata ktk mitandao mbali mbali ya kijamii, youtube channel TodayTvfilms , facebook page superdancertz , facebook group Simulizi Mix Group, Instagram na twitter @wahabarishaji
Lakini mkusanyiko wa kazi zetu zote katika mitandao yote ya kijamii zipo ndani ya hii application hivyo ukidownload hii application jisikie uko nyumbani, Burudani zote utazipata laive bila chenga.
Ukidownload appication hii basi usisahaau kuwajulisha na wengine kwa kushare application yetu.
Asante
Simulizi Entertainment Tunagusa Hisia Zako.
Last updated on Jan 8, 2019
Simulizi za sauti
Simulizi za Eric Shigongo
Simulizi za George Mosenya
Simulizi za Mahaba
Diunggah oleh
حسين كردي
Perlu Android versi
Android 4.2+
Kategori
Laporkan
Simulizi Za Kusisimua
1.0.5 by Wahabarishaji, inc
Jan 8, 2019