APKPure Appを使用する
Farm to Market Allianceの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
普及員や農民グループのリーダーのための製品のアプリケーション配布
Farm to Market Alliance App inarahisisha utunzaji wa amana za mazao katika ghala kwa urahisi na haraka!
Kwa kutumia hii programu unaweza kufanya yafuatayo:
-kuangalia na kurekabisha taarifa za wakulima na vikundi vyao
-kuangalia taarifa za salio ya mikopo ya wakulima
-kuongeza wakulima wapya na kusajili amana za mazao yao
-kufanya kazi katika ghala bila mtandao wa intaneti
Hii programu inarahisisha maisha yako kwa njia nne:
1. Mikopo ya wakulima ina hesabiwa kutokana na usajili wa amana za mazao yao hapo kwa hapo.
2. Meneja wakampuni/NGO wanapokea taarifa za wakulima na usajili wa amana za mazao yao hapo kwa hapo.
3. Amana za mazao ya wakulima zinarekebishika kwa urahisi bila mahesabu kujirudia.
4. Hakuna haja ya kukusanya taarifa kwa karatasi utumiaji wa programu hii inatosha.
Makala mapya na maboresho yataongezwa miezi ijayo. Tufanye kazi pamoja!
Keywords: FtMA, WFP, World Food Programme, kilimo, mahindi, mKulima, biashara, Tanzania
Last updated on 2019年02月27日
Bug fixes
Farm to Market Alliance App
0.6.6 by United Nations
2019年02月27日