Hadithi 40 za Imamu Nawawi


2.0 by K Technologies
2023年09月06日 歷史版本

關於Hadithi 40 za Imamu Nawawi

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili

Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye。 Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo。 Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40。

伊瑪目 Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh。 Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu。

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa。 Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii。 Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi。

更多應用信息

最新版本

2.0

上傳者

Bilal Khan

系統要求

Android 4.4+

Available on

舉報

舉報不當內容

更多

下載 APKPure App

可在安卓獲取Hadithi 40 za Imamu Nawawi的歷史版本

下載

下載 APKPure App

可在安卓獲取Hadithi 40 za Imamu Nawawi的歷史版本

下載

Hadithi 40 za Imamu Nawawi相關應用

K Technologies 開發者的更多應用

最新發現