下載 APKPure App
可在安卓獲取MAMA AFYA的歷史版本
Jifunze 曼波門吉 kuhusu elimu ya Afya kwa Mjamzito na Mtoto Mchanga
Kupitia app hii utajifunza mambo mengi kuhusu elimu ya Afya kwa Mjamzito na Mtoto Mchanga,vile vile unaweza kutumia app hii kuweza kujua kundi gani la Uzito wako yaani Uzito wa chini, kawaida,juu au Kiriba tumbo haijalishi wewe ni Mjamzito au si Mjamzito(Mwanaume,Kaka au Dada),pia unaweza kujua umri wa Ujauzito katika Wiki au Siku na Tarehe ya matarajio.
Usikose kufuatilia website ya mamaafya.com na YouTube channel ya Dr.Mwanyika ili kujifunza mengi kuhusu Ujauzito kwa njia ya video.
Masomo yote ya Afya huandaliwa na Daktari Jackson Mwanyika (MD)
Last updated on 2021年06月16日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
MAMA AFYA
1.0 by PHIDTECH T LIMITED
2021年06月16日