Use APKPure App
Get Tenzi za Rohoni Pro old version APK for Android
Nyimbo za Tenzi za Rohoni na Nyimbo za dini kwenye Simu Yako
App hii inakuwezesha kupata Nyimbo za injili kwenye Simu Yako kwa urahisi muda wowote na Mahali Popote.
App hii ina Nyimbo za dini 138 kutoka kwenye kitabu cha Nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni. Huna haja ya Kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au Nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za Nyimbo za injili bila Kuwa na intaneti (Offline)
Neno la Kristo na likae kwa wingi Ndani Yenu Katika Hekima Yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na na Nyimbo tenzi za rohoni; Huku mkimwimbia Mungu kwa Neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 03:16
CIRI-CIRI
★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa Nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa kwa urahisi kutafuta kutoka kwenye syarikat Senarai tenzi.
★ Tafuta Neno lolote kwenye tenzi Zote
★ Unaweza kuweka Nyimbo unazizipenda kwenye syarikat Senarai Nyimbo za injili au Nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi
★ Kuchagua aina ya Fonti za aya
★ Kupanga syarikat Senarai tenzi au Nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti
Last updated on Apr 10, 2020
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Memerlukan Android
4.0.3
Category
Laporkan
Tenzi za Rohoni Pro
2.0.4 by Robert Londo
Apr 10, 2020
$1.99