We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.

O Tenzi za Rohoni Pro

Nyimbo za Tenzi za Rohoni na nyimbo za Dini kwenye SIMU Yako

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye SIMU Yako kwa urahisi muda wowote na mahali Popote.

Aplikacja Hii ina nyimbo za Dini 138 kutoka kwenye kitabu Cha nyimbo za Dini Cha Tenzi za Rohoni. Huna Haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za Dini unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za nyimbo za injili bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na TENZI za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa Neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 3:16

Cechy

★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu bwana kwa nyimbo za Dini.

★ Ala za TENZI bila intaneti (Offline)

★ Pata TENZI kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya TENZI.

★ Tafuta Neno lolote kwenye TENZI Zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za Dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi

★ Kuchagua aina ya Fonti ZA Aya

★ Kupanga orodha ya TENZI au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Co nowego w najnowszej wersji 2.0.4

Last updated on Apr 10, 2020

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Tłumaczenie Wczytuję...

Dodatkowe informacje APLIKACJA

Ostatnia Wersja

Dostępne Tenzi za Rohoni Pro aktualizacje 2.0.4

Wymaga Androida

4.0.3

Pokaż więcej

Tenzi za Rohoni Pro Zrzuty ekranu

Subskrybuj APKPure
Bądź pierwszym, który uzyskał dostęp do wczesnego wydania, wiadomości i przewodników najlepszych gier i aplikacji na Androida.
Nie, dziękuję
Zapisać się
Subskrybowano pomyślnie!
Jesteś teraz subskrybowany do APKPure.
Subskrybuj APKPure
Bądź pierwszym, który uzyskał dostęp do wczesnego wydania, wiadomości i przewodników najlepszych gier i aplikacji na Androida.
Nie, dziękuję
Zapisać się
Powodzenie!
Jesteś teraz subskrybowany do naszego biuletynu.